Kuna Biashara Ambazo watu wengi huzipuuzia lakini ni Biashara zenye faida kubwa na mzunguko mzuri.
.
Biashara hizi hazichangamkiwi sana na wasomi na wenye mitaji mikubwa. Unaweza kuangalia hizi Biashara na Ukaweka nguvu zako.
Nambari | Biashara | Maelezo |
---|---|---|
1 | Maduka ya Mtandaoni | Uuzaji wa bidhaa mtandaoni kupitia tovuti na mitandao ya kijamii. |
2 | Kilimo cha Kisasa | Kutumia teknolojia za kisasa katika kilimo ili kuongeza uzalishaji. |
3 | Huduma za Utalii | Kutoa huduma za utalii kwa wageni wa ndani na nje ya nchi. |
4 | Biashara ya Dropshipping | Kuuza bidhaa bila kuwa na hisa, kwa kutumia wasambazaji. |
5 | Uuzaji wa Vifaa vya Kielektroniki | Kuuza vifaa vya kielektroniki kama simu na kompyuta. |
6 | Usafirishaji wa Mizigo | Huduma za usafirishaji wa bidhaa ndani na nje ya nchi. |
7 | Huduma za Usafi wa Nyumba | Kutoa huduma za usafi kwa nyumba na ofisi. |
8 | Uzalishaji wa Chakula | Kutengeneza na kuuza vyakula kama chips na vitafunio. |
9 | Biashara ya Mkahawa | Kutoa huduma za chakula na vinywaji katika maeneo ya umma. |
10 | Uuzaji wa Mifugo | Kuuza mifugo kama ng’ombe, mbuzi, na kuku. |
11 | Biashara ya Urembo | Kutoa huduma za urembo kama saluni na spa. |
12 | Uzalishaji wa Sabuni | Kutengeneza sabuni za kawaida na sabuni za kuua bakteria. |
13 | Biashara ya Kukuza Nywele | Kutoa huduma za kukata na kuunda mitindo ya nywele. |
14 | Kilimo cha Mboga | Kukuza na kuuza mboga za majani na mboga nyingine za chakula. |
15 | Usanifu wa Majengo | Kutoa huduma za usanifu na ujenzi wa majengo. |
16 | Biashara ya Mifugo ya Nyumbani | Kukuza mifugo nyumbani kama kuku wa kienyeji. |
17 | Uuzaji wa Vinywaji | Kuuza vinywaji kama juisi na pombe za kienyeji. |
18 | Uzalishaji wa Mkaa | Kutengeneza mkaa mbadala kwa matumizi ya nyumbani. |
19 | Huduma za Kisheria | Kutoa ushauri wa kisheria kwa wateja. |
20 | Biashara ya Ushauri wa Fedha | Kutoa ushauri wa kifedha na uwekezaji. |
21 | Uuzaji wa Vifaa vya Ujenzi | Kuuza vifaa vya ujenzi kama saruji na vifaa vingine. |
22 | Biashara ya Teknolojia ya Habari | Kutoa huduma za teknolojia kama ushirikiano wa mtandaoni. |
Biashara nyingine mbazo watu Huzichukulia Poa lakini zimewatoa watu wengi Kimaisha
1.Mgahawa maeneo yenye watu wengi mfano masokoni na migodini, Stendi, karibu na vyuo/Hosteli.
2. Udalali ( udalali wa kila kitu)
3. Biashara ya vitafunwa na Bites.
4. Wakala wa kusajili laini za mitandao kama tigo, airtel, vodacom na halotel.
Hii ni biashara ambayo wengi wanaidharau sana lakini ina hela sana kwa mwezi ukipiga kazi vzuri commission inakuja hadi 1m na sio lazima hadi ufanye ww unatafuta vijana wanaingia mtaani. Ukiwa na ofisi maalum ni nzuri zaidi kuliko kuzunguka mtaani pia unaweza ongeza uwakala hapo
.
5. Bishara ya matunda.
.
6. Biashara ya Carwash ( Hii inahitaji mtaji mkubwa wa mashine na eneo)
7. Kuuza Rasta. Hasa utoe Chimbo/direct kiwandani kama una mtaji mkubwa.
8. Kuuza supu ya kongoro jioni.
9. Wakala wa mabus ( pesa kubwa kwa sasa iko kwenye mizigo)
10. CD 💿 library hasa maeneo ya uswahilini.
.
11. Mihogo mashuleni hasa shule za serikali.
12. Genge
13. Upigaji wa picha (Photography)
14. Kibanda cha Chips
16. Ufundi
17. Mishikaki.
18. Uuzaji wa Nguo za ndani.
19. Uuzaji wa vifaa vya simu.
20. Uuzaji wa simu ndogo za batani hasa vijijini na wilaya zenye maendeleo ya kati.
21. Biashara za ushonaji.
22. Biashara ya Dagaa
23. Biashara ya usafi.