TV za Samsung zinajulikana kwa ubora wa hali ya juu, teknolojia ya kisasa, na muundo wa kuvutia.Bei za tv za samsung hutoautiana kutokana na size na Modeli ya tv husika Kwenye hii makala tunaangalizia bei ya tv ya samsung inchi 65 kwa Tanzania.
SIFA ZA TV ZA SAMSUNG
1️⃣ Ubora wa Picha
✅ QLED & OLED Displays – Samsung hutumia teknolojia za QLED na OLED kutoa rangi halisi na picha angavu.
✅ 4K & 8K Resolution – TV zao nyingi zinakuja na 4K Ultra HD, na kuna baadhi za 8K kwa picha safi zaidi.
✅ HDR (High Dynamic Range) – Teknolojia hii huongeza uwazi na utofauti wa rangi kwa picha angavu zaidi.
2️⃣ Ubora wa Sauti
🔊 Dolby Atmos & Object Tracking Sound (OTS) – Sauti inafuata mwendo wa vitu kwenye skrini kwa uzoefu halisi.
🔊 Q-Symphony – Inaruhusu TV na soundbar za Samsung kufanya kazi pamoja kwa sauti bora zaidi.
3️⃣ Smart Features
🧠 Tizen OS – Mfumo wa Samsung una kasi na unasaidia apps nyingi kama YouTube, Netflix, na Prime Video.
📡 Bixby, Google Assistant & Alexa – TV zinasaidia mawasiliano ya sauti kwa kutumia wasaidizi wa kidigitali.
📺 Samsung Smart Hub – Mahali pa kukusanya burudani zote, ikiwemo michezo na huduma za utiririshaji.
📱 Screen Mirroring & Multi-View – Unaweza kuunganisha simu yako na TV au kugawanya skrini kuangalia vitu viwili kwa wakati mmoja.
4️⃣ Muundo na Ubunifu
✨ Neo QLED & The Frame TV – TV kama The Frame zinaweza kuonekana kama uchoraji ukutani, na Neo QLED zina fremu nyembamba kwa mwonekano wa kisasa.
🔗 One Connect Box – Mfumo huu hupunguza nyaya nyingi kwa kuweka muunganisho wote kwenye box moja.
5️⃣ Uchezaji wa Michezo (Gaming Features)
🎮 120Hz/144Hz Refresh Rate – Inahakikisha michezo inaenda laini bila kuchelewa.
🚀 VRR (Variable Refresh Rate) & FreeSync Premium Pro – Inazuia “screen tearing” kwa wachezaji wa PlayStation na Xbox.
🔗 HDMI 2.1 Support – Muhimu kwa gamers kwa mwitikio wa kasi na ubora wa picha.
SOMA HII :Biashara za Mtandaoni Zitakazo kufanya Uwe Tajiri
Bei ya Samsung TV Inch 65
Hapa chini kuna jedwali linaloonyesha makadirio ya bei za Samsung TV inch 65 katika masoko tofauti nchini Tanzania:
Aina ya TV | Bei (TZS) | Mahali pa Ununuzi |
---|---|---|
Samsung 65″ QLED Smart Q60B – UHD | 2,700,000 | Jiji.co.tz |
Samsung 65″ LED UHD Smart TV 65AU7000 | 2,100,000 | NidaDanish |
Samsung 65″ (65BU8100 Crystal UHD 4K Smart TV) | 2,100,000 | Shopflix |