Kampuni ya simu ya Tecno walitangaza toleo jipya la simu yao ya Tecno spark 10 mnamo mwezi April 2023 ndipo rasmi iliingia sokoni ,tumekuwekea Bei ya spark 10 katika masoko ya Tanzania pamoja na Sia zake
Bei za Simu Tecno Spark 10
- Tecno Spark 10
- RAM: 8GB
- ROM: 128GB
- Bei: TZS 350,000.
- Tecno Spark 10 Pro
- RAM: 8GB
- ROM: 128GB
- Bei: TZS 350,000.
- ROM: 256GB
- Bei: TZS 400,000.
- Tecno Spark 10C
- Bei ya Tecno Spark 10C haijatajwa kwa uwazi katika vyanzo vilivyopo, lakini inatarajiwa kuwa katika kiwango cha chini ikilinganishwa na Spark 10 na Spark 10 Pro.
Sifa Za Simu ya Tecno Spark 10
Sifa za Tecno Spark 10
| Sehemu Za Simu | Sifa za Simu |
|---|---|
| Network | 2g, 3g, 4g |
| Processor(SoC) |
|
| Display(Kioo) | IPS LCD, Refresh rate:90Hz |
| Softawre |
|
| Memori | 128GB, na RAM 8GB |
| Kamera | Kamera MBILI
|
| Muundo | Urefu-6.6inchi |
| Chaji na Betri |
|
| Bei ya simu(TSH) | 350,000/= |
Simu hizi zinapatikana kwa bei tofauti katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, hivyo ni vyema kuangalia maduka tofauti ili kupata ofa bora.
Yapi Madhaifu ya Tecno Spark 10
Tecno Spark 10 simu ya daraja la chini hivyo changamoto ni nyingi ikitegemeana na aina ya matumizi
Mfumo wa kamera sio mzuri kiujumla
Chaji yake haipeleke kwa kasi kubwa na kwa viwango vya kisasa
Kasi ya chaji ya simu za siku hizi ni wati 25
Kioo inatumia teknolojia ya IPS LCD huku ikiwa na resolution ndogo
Simu haina teknolojia mpya ya mawasiliano ya 5G ikizingatiwa baadhi ya mitandao wameanza kuweka 5G nchini

