Samsung Galaxy S25 Ultra ni simu janja ya kisasa kutoka Samsung, iliyozinduliwa Januari 2025, ikiwa na teknolojia ya hali ya juu na muundo wa kuvutia.
Bei ya Samsung Galaxy S25 Ultra nchini Tanzania
Bei ya Samsung Galaxy S25 Ultra inatofautiana kulingana na toleo na muuzaji. Hapa ni bei zinazokadiriwa kwa baadhi ya matoleo:
12GB RAM + 256GB Uhifadhi wa Ndani: TSh 3,200,000
12GB RAM + 512GB Uhifadhi wa Ndani: TSh 3,500,000
12GB RAM + 1TB Uhifadhi wa Ndani: TSh 4,100,000
Bei hizi zinaweza kubadilika kulingana na eneo na muuzaji.
Sifa za Samsung Galaxy S25 Ultra
Muundo na Kioo:
Kioo: Inchi 6.9 Dynamic LTPO AMOLED 2X yenye mwonekano wa 1440 x 3120 pixels na mwangaza wa juu wa nits 2600.
Ulinzi: Kioo kinalindwa na Corning Gorilla Armor 2.
Utendaji:
Chipset: Qualcomm Snapdragon 8 Elite (3 nm).
CPU: Octa-core (2×4.47 GHz Oryon V2 Phoenix L + 6×3.53 GHz Oryon V2 Phoenix M).
GPU: Adreno 830.
Kamera:
Nyuma: Mpangilio wa kamera nne; 200MP (pana), 10MP (telephoto), 50MP (periscope telephoto), na 50MP (ultrawide).
Mbele: 12MP kwa selfies na mikutano ya video.
Betri:
Uwezo: 5000 mAh.
Chaji ya Haraka: 45W kwa njia ya waya, 25W kwa njia isiyo na waya (Qi2), na 4.5W reverse wireless charging.
Soma Hii :Bei ya Simu ya Samsung Galaxy S24 na Sifa zake
Vipengele vya Ziada:
Mfumo wa Uendeshaji: Android 15 pamoja na One UI 7.
Uthibitisho wa Maji na Vumbi: IP68 (inaweza kuzama hadi mita 1.5 kwa dakika 30).
Rangi Zinazopatikana: Titanium Silver Blue, Titanium Black, Titanium White Silver, Titanium Gray, Titanium Jade Green, Titanium Jet Black, na Titanium Pink Gold.