Fahamu Bei ya Magodoro chapa ya QFL Magodoro Dodoma ” Alinunua Babu mpaka Mjukuu analitumia” Tambua Bei zake kulingana na Size ya Gororo husika.
Bei ya Magodoro Dodoma (Magodoro ya QFL Dodoma)
Magodoro ya QFL yanapatikana katika vipimo tofauti vya urefu na unene, ili kukidhi mahitaji ya aina mbalimbali za wateja. Na bei zake hutofautiana kutokana na vitipo hivyo vya unene na urefu. Mwaka huu 2024, bei za magodoro ya QFL Dodoma zinaendelea kuwa nafuu na zenye ushindani sokoni. Hapa chini ni orodha ya bei za magodoro kulingana na ukubwa na unene wake:
Soma HII : EWURA Yatangaza Bei Mpya Mafuta ya Petroli na Dizeli 2025
Magodoro Saizi 5×6 (Futi)
- Unene wa 6 inchi: TZS 210,000
- Unene wa 8 inchi: TZS 285,000
- Unene wa 10 inchi: TZS 335,000
- Unene wa 12 inchi: TZS 395,000
Magodoro Saizi 6×6 (Futi)
- Unene wa 6 inchi: TZS 320,000
- Unene wa 10 inchi: TZS 395,000
- Unene wa 12 inchi: TZS 450,000