Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Nafasi za Kazi Halmashauri Mbalimbali Zilizotangazwa leo Ajira Portal 2025
Ajira Mpya

Nafasi za Kazi Halmashauri Mbalimbali Zilizotangazwa leo Ajira Portal 2025

BurhoneyBy BurhoneyJune 5, 2025Updated:June 5, 2025No Comments4 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Nafasi za Kazi Halmashauri Mbalimbali Zilizotangazwa leo Ajira Portal 2025
Nafasi za Kazi Halmashauri Mbalimbali Zilizotangazwa leo Ajira Portal 2025
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Serikali ya Tanzania, kupitia Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imetangaza nafasi mpya za ajira katika halmashauri mbalimbali nchini. Tangazo hili limetolewa leo, na linapatikana kupitia mfumo rasmi wa Ajira Portal: https://portal.ajira.go.tz/.

NAFASI za Kazi Halmashauri Mbalimbali Ajira Portal J2025

Ili kusoma vigezo na njia ya kutuma maombi tafdhari bonyeza kwenye kila nafasi ya kazi hapo chini;

DescriptionClosing Date
POST: DEREVA DARAJA II – 4 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara
More Details
2025-06-17
Login to Apply
POST: DEREVA DARAJA II – 6 POST
Employer: Halmashauri ya Manispaa la Ilemela
More Details
2025-06-17
Login to Apply
POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 2 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara
More Details
2025-06-17
Login to Apply
POST: DEREVA DARAJA II – 9 POST
Employer: Halmashauri ya Mji wa Geita
More Details
2025-06-16
Login to Apply
POST: DEREVA DARAJA II – 7 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Handeni
More Details
2025-06-16
Login to Apply
POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 4 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Handeni
More Details
2025-06-16
Login to Apply
POST: DEREVA DARAJA II – 7 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
More Details
2025-06-17
Login to Apply
POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 4 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga
More Details
2025-06-17
Login to Apply
POST: DEREVA DARAJA II – 11 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Hai
More Details
2025-06-15
Login to Apply
POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 5 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Hai
More Details
2025-06-15
Login to Apply
SOMA HII :  Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Karatu 2025
DescriptionClosing Date
POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 4 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Hai
More Details
2025-06-15
Login to Apply
POST: MHUDUMU WA JIKONI DARAJA II – 1 POST
Employer: Halmashauri ya Wilaya ya Hai
More Details
2025-06-15
Login to Apply
POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 5 POST
Employer: Halmashauri ya Manispaa ya Singida
More Details
2025-06-16
Login to Apply
POST: DEREVA DARAJA II – 6 POST
Employer: Halmashauri ya Manispaa ya Singida
More Details
2025-06-16
Login to Apply
POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 4 POST
Employer: Halmashauri ya Manispaa ya Singida
More Details
2025-06-16
Login to Apply
POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 5 POST
Employer: Halmashauri ya wilaya ya Chalinze
More Details
2025-06-15
Login to Apply
POST: DEREVA DARAJA II – 4 POST
Employer: Halmashauri ya wilaya ya Chalinze
More Details
2025-06-15
Login to Apply
POST: MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA II – 4 POST
Employer: Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro
More Details
2025-06-11
Login to Apply
POST: DEREVA DARAJA II – 11 POST
Employer: Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro
More Details
2025-06-11
Login to Apply
POST: MWANDISHI MWENDESHA OFISI DARAJA LA II – 9 POST
Employer: Halmashauri ya Mji Nanyamba
More Details
2025-06-09
Login to Apply

Soma: Matokeo ya Usaili Ajira Portal 2025 / 2026 Utumishi wa Umma PSRS

Jinsi ya Kuomba

Waombaji wanatakiwa kufuata hatua zifuatazo:

  1. Tembelea tovuti ya Ajira Portal: https://portal.ajira.go.tz/

  2. Jisajili au ingia kwa kutumia akaunti yako.

  3. Tafuta nafasi za kazi zinazokufaa kulingana na taaluma yako.

  4. Jaza fomu ya maombi kwa usahihi na ambatanisha vyeti vyako muhimu.

  5. Wasilisha maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho iliyowekwa kwa kila tangazo.

SOMA HII :  Taarifa Kwa Umma kuhusu Matokeo ya Usaili wa Kuandika Ajira za TRA

Maelekezo Muhimu kwa Waombaji

  • Hakikisha umeambatanisha vyeti vyote vinavyohitajika kama ilivyoelekezwa katika tangazo husika.

  • Tumia barua pepe na namba ya simu zinazofanya kazi kwa mawasiliano zaidi.

  • Fuata maagizo yote yaliyotolewa kwenye tangazo la kazi unayoomba.

Kwa maelezo zaidi na kuona orodha kamili ya nafasi zilizotangazwa leo, tembelea tovuti rasmi ya Ajira Portal: https://portal.ajira.go.tz/.

Usikose fursa hii ya kujiunga na utumishi wa umma na kuchangia katika maendeleo ya taifa letu.

Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Zimamoto Recruitment Portal Login:Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

December 13, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Zima moto PDF Download December 2025

December 12, 2025

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

December 12, 2025

Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili kada ya Afya na Ualimu Ajira portal December 2025

December 4, 2025

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Kada za Afya na Elimu TAMISEMI

November 26, 2025

Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Kusimamia Uchaguzi October 2025 :INEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi

October 19, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Zimamoto Recruitment Portal Login:Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

December 13, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Zima moto PDF Download December 2025

December 12, 2025

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

December 12, 2025

Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili kada ya Afya na Ualimu Ajira portal December 2025

December 4, 2025

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Kada za Afya na Elimu TAMISEMI

November 26, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.