Serikali ya Tanzania kupitia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imekuwa ikifanya usaili wa kuandika kwa ajili ya ajira serikalini ili kuhakikisha mchakato wa ajira unakuwa wa haki, wazi, na wa kitaalamu. Tarehe 31 Mei 2025, zoezi la usaili wa kuandika lilifanyika kwa nafasi mbalimbali za kazi zilizotangazwa mapema mwezi Mei kupitia Ajira Portal.
Orodha ya Matokeo ya Usaili wa Kuandika – 31/05/2025
Matokeo ya usaili wa kuandika yametangazwa rasmi leo na Sekretarieti ya Ajira. Majina ya waliofaulu na waliochaguliwa kuendelea na hatua ya usaili wa ana kwa ana (oral interview) yamewekwa kwenye tovuti rasmi ya Ajira Portal.
Majina ya waliofaulu yanapatikana hapa:
π BOFYA KUANGALIA MAJINA
Taasisi Zilizohusishwa katika Usaili wa Tarehe 31/05/2025:
Wasailiwa wote waliochaguliwa kuendelea na hatua zinazofuata wanatakiwa kuzingatia muda na eneo la kufanyia usaili.
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates) pamoja na kitambulisho.
- MKUFUNZI ARDHI II β (GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEMS)
- MKUFUNZI ARDHI II β (LAND MANAGEMENT EVALUATION)
- MKUFUNZI ARDHI II β (LAND SURVEYOR )
- MKUFUNZI II β (ARCHITECT)
- MKUFUNZI II β (ENVIRONMENTAL MANAGEMENT)
- MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI β (LAND SURVEYOR)
- MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI (CARTOGRAPHER)
- RESEARCH ENGINEER II (CHEMICAL AND PROCESS ENGINEER)
- TECHNICIAN II (Electronics and Telecommunication Engineering)
- TUTOR II IN ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING
- TUTOR II IN FLIGHT OPERATIONS
- MKUFUNZI ARDHI II β (GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEMS)
- MKUFUNZI ARDHI II β (LAND MANAGEMENT EVALUATION)
- MKUFUNZI ARDHI II β (LAND SURVEYOR )
- MKUFUNZI II β (ARCHITECT)
- MKUFUNZI II β (ENVIRONMENTAL MANAGEMENT)
- MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI β (LAND SURVEYOR)
- MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI (CARTOGRAPHER)
- RESEARCH ENGINEER II (CHEMICAL AND PROCESS ENGINEER)
- TECHNICIAN II (Electronics and Telecommunication Engineering)
- TUTOR II IN ELECTRONICS AND TELECOMMUNICATION ENGINEERING
- TUTOR II IN FLIGHT OPERATIONS
- ARTS OFFICER II (Art and Design)
- CONSUMER PROTECTION OFFICER II
- CURATOR II (EDUCATION)
- CURATOR II (HISTORY)
- ENGINEER II (MECHATRONICS ENGINEER)
- MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA HESABU)
- MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI (LAND MANAGEMENT, EVALUATION AND REGISTRATION)
- PROOF READER II
- RESEARCH ASSISTANT
- TECHNICIAN II (BIOMEDICAL TECHNICIAN)
- TECHNICIAN II (MARINE ENGINEERING β MECHANICAL)
- TECHNICIAN II (MARINE ENGINEERING -ELECTRICAL)
- TECHNICIAN II (MECHANICAL TECHNICIAN)
- TECHNICIAN II (MECHANICAL) β CAMARTEC
- TECHNICIAN II (MECHATRONICS TECHNICIAN)
- TECHNICIAN II (MINERAL LABORATORY)
- TECHNICIAN II (Soil)
- TRANSCRIBER II β SIGN LANGUAGES INTERPRETER
- TUTORIAL ASSISTANT (SCIENCE AND MANAGEMENT)
- TUTORIAL ASSISTANT IN MECHANICAL ENGINEERING
- AFISA ARDHI II (LAND OFFICER II)
- AFISA MIFUMO YA TAARIFA YA JIOGRAFIA II (GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEMS)
- ARTISAN II (Electrical Engineering)
- ARTISAN II (PLUMBING) β DIT
- ARTISAN II (PLUMBING) β NMT
- ASSISTANT INFORMATION COMMUMICATION TECHNOLOGY OFFICER
- CONSERVATOR II β (MONUMENTS AND SITES)
- ENGINEER II (MECHANICAL ENGINEERING) β TEMDO
- FOOD TECHNOLOGIST GRADE II
- ICT OFFICER II (PROGRAMING) β TEMDO
- ICT OFFICER II (PROGRAMMER)
- ICT OFFICER II (SYSTEM DEVELOPER)
- INSTRUMENTATION ENGINEER II
- LIBRARY OFFICER II β EWURA
- MECHANICAL ENGINEER II β TPDC
- MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA KIUCHUNGUZI β FANI YA UTENGENEZAJI WA PROGRAMU ZA TEHAMA (PROGRAMMING)
- MKAGUZI DARAJA LA II (UKAGUZI WA UFANISI- FANI YA SAYANSI YA SIASA (POLITICAL SCIENCE)
- TECHNICIAN II (CIVIL TECHNICIAN) β TEMDO
- TECHNICIAN II (ELECTRICAL TECHNICIAN)
- TECHNICIAN II (MARITIME TRANSPORT- COMPUTER SCIENCE)
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Usaili wa Kuandika
Tembelea Tovuti ya Ajira Portal:
https://portal.ajira.go.tzNenda kwenye sehemu ya βShortlisted Applicantsβ
Chagua Tarehe ya Usaili:
31/05/2025 – Written Interview Results
Pakua Orodha ya Majina (PDF) kulingana na nafasi ya kazi uliyofanyia usaili
Tazama jina lako na angalia kama umeitwa kwenye usaili wa mdomo
Hatua Inayofuata: Usaili wa Mdomo (Oral Interview)
Kwa waliofaulu usaili wa kuandika, hatua inayofuata ni:
Usaili wa ana kwa ana (oral interview)
Tarehe za usaili wa mdomo zitatangazwa ndani ya siku chache zijazo kupitia Ajira Portal
Mahojiano yatafanyika ana kwa ana au kwa njia ya mtandao, kutegemea taasisi husika
Kumbuka: Kuandaa nyaraka zako zote muhimu kama:
Vyeti vya shule/vyuo (asili)
Kitambulisho cha NIDA
Barua za uzoefu (kama zinaombwa)
Nakala ya barua ya kuitwa kwenye usaili [Soma: Nafasi za kazi Zilizotangazwa Leo Ajira Portal 2025 ]
Vidokezo kwa Walioitwa kwenye Usaili wa Mdomo
Vaeni mavazi rasmi na ya heshima
Jifunze kuhusu taasisi unayoomba kazi
Jibu kwa kujiamini, uaminifu, na ufasaha
Usichelewe kufika eneo la usaili
Hakikisha umebeba nyaraka zote muhimu
Β Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQs)
Matokeo haya ni ya mikoa yote?
Ndiyo, matokeo yanajumuisha waombaji kutoka mikoa yote nchini.
Je, nikikosa kwenye usaili huu, naweza kuomba tena?
Ndiyo, unaweza kuomba tena kwenye nafasi zitakazotangazwa siku zijazo.
Je, waliofaulu wanahakikishiwa ajira moja kwa moja?
Hapana. Kufuzu usaili wa kuandika ni hatua ya awali. Ajira hutolewa baada ya kukamilisha usaili wa mdomo na kuchaguliwa rasmi.
Nawezaje kujua kama niliitwa kwenye usaili wa mdomo?
Majina yote yatawekwa kwenye Ajira Portal. Taarifa pia zitatumwa kwa barua pepe au SMS kwa baadhi ya waombaji.
Matokeo haya ni ya uhakika?
Ndiyo. Matokeo yametolewa rasmi na Sekretarieti ya Ajira, na yanapatikana kwenye tovuti yao.
Je, kuna malalamiko yanaruhusiwa kama sijaona jina langu?
Ndiyo. Unaweza kuwasiliana na Sekretarieti ya Ajira kwa kupitia namba au email zilizo kwenye tovuti yao kwa maelezo zaidi.