Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Hatua 11 Za Kufanya Kumshawishi Mwanamke Mfanye Mapenzi
Mahusiano

Hatua 11 Za Kufanya Kumshawishi Mwanamke Mfanye Mapenzi

BurhoneyBy BurhoneyMay 7, 2025No Comments5 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Hatua 11 Za Kufanya Kumshawishi Mwanamke Mfanye Mapenzi
Hatua 11 Za Kufanya Kumshawishi Mwanamke Mfanye Mapenzi
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Linapokuja Swala la Kuomba mzigo hasa kwa mara ya kwanza kwa penzi Jipya huwa ni kipengele kwa Wanaume wengi Hushindwa Jinsi ya Kumshawishi mwanamke Ila Usijali SWAHIILORUMS’ Team imeakundalia Hatua 11 za kumuingiza mtoto kingi

Hatua 11 za kufanya ufanye mapenzi na yeye

1 Kuwa karibu na yeye
Kama unamtaka mwanamke basi kitu cha kwanza ni kuwa lazima umjue vizuri. Usijitokeze na ubabe mwingi wa kujiona beberu kwa sababu atakuona kama tishio kwake ama hatakuwa huru kuongea na wewe ama mbaya zaidi ataboeka na wewe.

Fanya kuongea na yeye ili umjue vizuri. Mtumie meseji mara kwa mara na tumia lugha ambazo zitakuwa sahili kwake ili akukubali haraka. Lakini usiwe na pupa ya  kuanza kumtongoza, la. Onyesha tu ule upendo wa kirafiki mara ya kwanza.

2 Pendezeka
Hii hatua ndio itakayoamua iwapo kama umempendeza ama wampotezea wakati wake. Wakati unapoongea na yeye mara kwa mara jaribu kuangalia ishara zozote kutoka kwake iwapo yuko interested na wewe au la.

Hii hatua unapaswa kumtext na kumtumia jumbe ambazo zitalingana na mambo anayoyapenda. Mfano kama anapenda kuhusu mada za sinema basi pia wewe fanya tafiti kuhusu filamu ambazo anazipenda ili uweze kumpendeza.

Hii hatua pia unapaswa uchunge usiwe mtu wa kuboa kwani ataanza kukutenga polepole mpaka mwisho ujione mjinga. Ukimwona ameanza kujibu meseji zako kuchelewa ama kutokujibu siku nzima basi fahamu ameanza kukutenga. Hivyo basi hakikisha kuwa unakuwa mjanja katika hii hatua.

3 Kuwa active usiku wa kiza
Wakati mzuri na ule wa msisimko ni kutumia jumbe usiku wa kiza na kupigiana masimu. Usiku wa kiza ni muhimu kwa kuwa mwanamke ni rahisi kuitikia kile ambacho unataka wewe.

SOMA HII :  Rangi za shanga na maana zake

Hakikisha wakati unapoanza kumtumia jumbe anza na nyakati za jioni siku ya kwanza, saa mbili siku ya pili mpaka azoee kuchat na wewe mida hizo za saa nne hadi usiku wa kiza.

Pia hapa uchunge meseji zako zisikuje kwa uzito. Anza kwa kumchokoza polepole hadi ufikie pale ambapo unaweza kumtumia meseji za mapenzi hadi zile za kumpandisha nyege.

4 Ishi maisha mawili
Hapa ni pale ambapo unahitajika kumchanganya. Kila wakati wa usiku unapomtumia jumbe na kumpigia simu hakikisha kuwa unamsuka, unamtongoza na unamrushia meseji za kimahaba. Lakini ikiwa wakati wa mchana umekutana na yeye usijaribu kuongea kama vile ambavyo unaongea naye usiku unless yeye mwenyewe aanzishe stori kama hizo – ishara ya kuwa amependezwa na wewe.

Halafu muhimu zaidi ni kuwa wakati mnapokuwa na marafiki wengine msiongee kuhusu chat zenu kabisa, yaani ni nyinyi wawili pekee ndio mnaopaswa kuongea mambo kama hayo. Hii itaingia kwa akili yake kuwa mambo mnayoyafanya usiku ni kati ya nyinyi wawili hivyo basi lazima kuna kitu ambacho kinaendelea kati yenu.

5 Usimuonyeshe kuwa unampenda
Hapa ndipo wanaume wale wa ‘kawaida’ ndio wanapofanya makosa. Wanamwambia mwanamke kuwa wanampenda na kuwa wanahisia na wao. Yeah, ofcourse unampenda. Tayari anajua hilo, si ni kweli? Unamtext kila wakati, unampigia simu kila mara, na lazima atakuwa anahisi hio kemia.

Lakini ijapokuwa ana fununu ya kuwa unampenda, anahitaji uhakikisho wake kupitia kwa kukusikia wewe umwambie hivyo. Cheza kijanja, usimwambie na mapema. Utakuwa unamsisimua na ataathirika na wewe kihisia. Lakini kumwambia mapema hisia zako zitaua ile haja ya yeye kutakaa kujua zaidi kutoka kwako. Wanipata?

SOMA HII :  Jinsi ya kudivert SMS za mpenzi wako

6 Ingia katika himaya yake ya binafsi
Wakati mko nyinyi wawili pekeenu, kaa karibu na yeye na ujifanye kama hukuona kama umekaa na yeye karibu sana. Umekuwa ukimtongoza mara kwa mara so ni wakati wako sasa wa kuingia katika himaya yake binafsi.

Iguse mikono yake ama vidole vyake wakati ambapo unaongea kitu flani, weka mikono yako kwa kiuno chake wakati unapishana na yeye ama unaenda ule upande mwingine, mguse huku ukimsifia, ama unaweza kumkumbatia sekunde zaidi wakati mnaagana.
7 Jenga tenshen ya kemia
Kufikia sasa, atakuwa anahisi hisia kila wakati ambapo unamgusa kimaksudi au kibahati mbaya. Hii ndio hatua ambayo unapaswa umfanye atamani miguso yako. Kumbuka hapa kuwa lengo letu ni kufanya mapenzi na yeye lakini tunaenda kimpango. Wakati unapokuwa unamgusa, hakikisha kuwa mkono wako unatomasa mgongo wake ama mikono yake. Msogelee karibu zaidi na umwambie maneno kupitia kwa masikio yake. Ongea kwa sauti nzito na iliyo ya kuvutwa wakati unapokuwa naye. Jenga kemia vile inavyohitajika na utamfanya atamani mikono yako ibaki kwake daima.

8 Cheza michezo
Kama umekuwa ukimsuka na umekuwa ukimjaza kila wakati unapokuwa umekaa na yeye, basi utakuwa umemtongoza na ameingiliana na unaweza hata kuenda kulala na yeye.

Lakini kama unataka kuchukua mambo hatua kwa hatua basi unaweza kurudi kule kwa text na uwe unamtumia jumbe za kumsuka na kumchanganya akili mara kwa mara. Hapa utakuwa unamtongoza huku ukienjoy. Tumeelewana hapa?

9 Mazungumzo machafu
Umekuwa ukimtext, ukimsuka, na kumtongoza kila usiku. Na kama amekuwa akiingiliana na text hizo zako, hapa basi ndipo unaweza kuwa na ile ruhusa ya kuongea uchafu na yeye na kuchukua hatua ya juu zaidi. Tumia simu yako kuanza kwa kumtumia meseji zilizo rahisi ambazo zinaonekana safi hadi ufikie kule kwa kumtumia meseji chafu. Na bila hata kujijua mtajikuta nyote wawili mkisex chat pamoja.

SOMA HII :  Sms za kumrudisha mpenzi aliyekuacha

10 Mwagize mtoke out
Pindi ambapo mtakuwa mshafanya sex chat na mwanamke kupitia kwa simu itakuwa tayari ushafunga mchezo. Sasa kile kilichobakia ni kufanya mapenzi ana kwa ana. Mwambie mtoke out ama mwambie kuwa unataka kukutana na yeye siku moja. Tengeneza plan ya kukutana nyumbani kwake ama aje mkutane kwako. Hakikisha kuwa sehemu ni hizo mbili pekee na wala si kukutana sehemu za umma unless kama bado unajaribu kumtongoza mara nyingine. Na hapa ndipo utaamua kama mahusiano yenu yatakuwa ya mlalano ama yatakuwa ya romance.

11 Fanya mapenzi na yeye
Na mwisho utakapokutana na yeye – tayari anajua ajenda ya kukutana na wewe – usimrukie papo kwa papo eti kwa kuwa tayari umefanya sex chat na yeye kwa simu.
Unaweza kuharibu mpango mzima ambao umekuwa ukiujenga kwa muda. Soma :Jinsi Ya Kumwambia Mwanamke Kuwa Ni Mrembo Bila Yakuonekana Fala

Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Madhara ya Kunyonya Maziwa ya Mwanamke

December 21, 2025

Madhara ya mate kwenye uke

December 21, 2025

Madhara ya kunyonya chuchu za mwanamke

December 21, 2025

Madhara ya kunyonya sehemu za siri

December 20, 2025

Video ya mwanafunzi na mwalimu Inayotrend Mtandaoni

December 9, 2025

Connection ya mwalimu na mwanafunzi wa miaka 15 Zimbabwe

December 9, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Zimamoto Recruitment Portal Login:Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

December 13, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Zima moto PDF Download December 2025

December 12, 2025

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

December 12, 2025

Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili kada ya Afya na Ualimu Ajira portal December 2025

December 4, 2025

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Kada za Afya na Elimu TAMISEMI

November 26, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.