Fahamu Orodha ya Vyakula vya Kuongeza Nguvu za Kiume kwa Haraka Bila kupoteza pesa kwa kuwalipa au Kununua madawa feki mtandaoni.
Tatizo la nguvu za kiume limekuwa tatizo la taifa kwa Wanaume na vijana wa leo kuanzia miaka 20 kuendelea lakini Ukweli ni kwamba si kila anayeshindwa kusimamisha au kufanya tendo kwamba anauungufu wa nguvu za kiume wengine husababishwa na hofu au kukosa kuandaliwa kisaikolojia au Mwenza mwenye mdomo ambaye kitanda hugeuza mahakama.
NGUVU ZA KIUME NI NINI?
Tunapozungumzia nguvu za kiume ni uwezo wa mwanaune kusimamisha uume kutokana na kupatwa na hisia za kushirikintendonla ndoa. Katika kusimamisha huku kuna wengine wanasimamisha kwa muda mchache na wengine kwa muda mrefu. Kitu hasa kinachoangaliwa sana ni uwezo wa uume kusimama na kuwa imara wakatinwa kushirikintendonla ndoa.
Je upungufu wa nguvu za kiume ni nini?
Upungufu wa nguvu za kiume hapa tunaangalia uwezo wa uume kuendelea kusimama na kuwa imara wakati wankyinguanna kutoka kwenye uke pindinmtu anaposhiriki tendonla ndoa. Kama mwanaune hawezi kusimamisha uume wake ndani ya dakika 3 wakati anashuriki tendonla ndoa huyuntunasema ana upungufu wa nguvu za kiume. Kuna wengine anaishia sekunde kadhaa tunbaada ya uume kuingiankwenyenuke.
Nguvu za kiumr kwa katika hali ya kawaida. Kikawaida nguvu za kiume zinaweza kuwa kati ya dalika 5. Wapo ambao wanafika dakika mpaka 15 wao ambao hawafiki. Lakinj kama unafika dakika 5 huna tatizo la nguvu za kiume, unahitajinushauri tunili kuzutumia vyema nguvu zako.
Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi
Tumekuwekea orodha ya vyyakula ambavyo vitasaidia kuuweka sawa mzunguko wako wa Damu na kuweza kusimamisha uume ipasavyo na kuimarisha manii kuwa yenye nguvu.
1. KITUNGUU SWAUMU
Tumia punje 8-10 za kitunguu swaumu vilizomwenywa na kukatwakatwa vipande vidogo vidogo kisha meza na maji safi na salama glasi mbili kutwa mara mbili (asubuhi na jioni) kwa muda wa mwezi mmoja. Pia hakikisha chakula unacho pika basi kitunguu swamu lazima kiwemo kama moja ya viungo vizuri ukakiweka mwishoni kisiive sana na moto.
2. TIKITI MAJI
Kula tikiti maji kila siku huku ukitafuna na mbegu zake, fanya hivyo siku zote.
3. UGALI WA DONA
Kula ugali wadona ni muhimu ukiachana na mazoea ya ugali wa sembe ugali wa dona una virutubisho vingi na mhimu wa afya ya mwanaume, kama ugali wa dona una kukera fanya hivi chukua mahindi kilo 10 na ngani kilo 3 usage kwa pamoja ugali wake huwa ni mlaini, mzuri na mtamu unaweza kula na mboga yoyote fanya hivyo katika familia yako na maisha yako yote.
4. CHUMVI YA MAWE
Chumvi ya mawe ya bahari ile amabayo haija safishwa na haija pita kiwandani inamchango mkubwa sana katika kutibu tatizo hili, tumia chumvi hii kwenye vyakula vyako kila siku.
SOMA HII :Jinsi ya kutengeneza DETOX ya kupunguza tumbo na uzito kwa haraka
5. MAJI YA KUNYWA
Kunywa maji ya kutosha kila siku bila kusubiri kiu, kila mtu anahitaji glasi 8-10 kwa siku za maji, maji ni muhimu katika kuongeza damu, kuimatisha mwili na kutoa taka mwili.
6. MBEGU ZA MABOGA


Hutibu Uume Uliolegea
Uume kuwa legelege na kuchomoka hovyo wakati wa tendo la ndoa. Mboo legevu huweza kutibiwa kwa ASALI YA BABA kwa kusaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye uume.
Huongeza Uume
Sababu kuu ya uume kuongezeka ni kuimarika misuli ya uume. Uume uliosinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo huweza kurejea katika hali yake ya awali.
Hutibu Kuwahi Kufika Kileleni
Kama unatumia muda mchache kitandani (chini ya dakika 7). ASALI YA BABA itakufaa kukabiliana na tatizo hilo linalotia huzuni pindi uwapo na mkeo.
Hutibu Madhara ya Punyeto
Husaidia kukunjua mishipa na misuli ya uume iliyosinyaa na kufanya uume kuwa kama umedidimia kwa ndani.
Huongeza Hamu ya Mapenzi
Homoni ya Testosterone ndiyo inayojishughulisha na kuongeza hamu ya kufanya mapenzi. Matumizi ya ASALI YA BABA husababisha kuongezeka kwa homoni hiyo muhimu kwa wanaume.
8. CHAI YA TANGAWIZI

Pweza na chaza ni aina za samaki wenye madini ya zinki na chumvi, ambayo ni muhimu kwa uzalishaji wa homoni za kiume. Madini haya yana uwezo wa kuongeza msisimko wa mwili na kuboresha nguvu za kiume. Wataalamu wanapendekeza ulaji wa mara kwa mara wa pweza na chaza kwa wanaume wanaotaka kuongeza nguvu za kiume na kuboresha utendaji wao katika tendo la ndoa.
10 .Pilipili
Mbali na yote hayo suala la ukosefu wa lishe bora huchangia upungufu wa nguvu za kiume. Mwanaume anapaswa kutumia vyakula vyenye virutubisho muhimu, ambavyo huimarisha misuli na mishipa ya uume.
11. Parachichi
Parachichi ni tunda lenye vitamini E, ambayo ni muhimu kwa uzalishaji wa homoni zinazosaidia kuongeza nguvu za kiume. Tunda hili pia lina mafuta mazuri ambayo husaidia kuboresha mzunguko wa damu na kuongeza msisimko wa kimapenzi. Kwa wanawake, parachichi pia husaidia kuongeza majimaji yenye utelezi sehemu za siri, hivyo kuzuia uwezekano wa kuchubuka wakati wa kujamiiana.
12. Siagi ya Karanga
Siagi ya karanga ni chanzo kizuri cha protini na mafuta yasiyo na madhara (unsaturated fats). Vitu hivi vina uwezo wa kuongeza nguvu na stamina mwilini, na hivyo kumsaidia mwanaume kuwa na nguvu wakati wa kufanya kazi nzito kama tendo la ndoa. Siagi ya karanga pia ina madini muhimu kama chuma, shaba, na potasiamu, ambayo yote husaidia kuboresha mzunguko wa damu mwilini na kuimarisha misuli.
13.Ndizi Mbivu
Ndizi ni tunda lenye virutubisho muhimu vinavyosaidia katika kuimarisha misuli ya mwili. Ina vitamini B6, ambayo ni muhimu kwa kuongeza stamina na nguvu, hasa wakati wa shughuli nzito kama tendo la ndoa. Ndizi pia ina kimeng’enyo cha Bromelain ambacho kina uwezo wa kuongeza nguvu za kiume na hamu ya tendo la ndoa. Kwa hivyo, ulaji wa ndizi mara kwa mara unaweza kusaidia kuboresha utendaji wa mwanaume katika tendo la ndoa.
VIRUTUBISHO & VYAKULA
MADINI YA ZINC
Zinki ina athari katika uzalishaji wa homoni muhimu za uzazi, kama vile testosterone. Testosterone ni muhimu kwa ukuaji wa misuli, na ina majukumu muhimu kufanya mapenzi. Pia madini ya zinki husaidia katika kutoa mazingira bora kwa ukuaji na ukomavu wa manii. Vyakula vyenye madini ya Zink kwa wingi ni nyama nyekundu, mbegu za maboga, maziwa, nafaka nzima n.k
VITAMINI ‘D‘
Vitamini D ina umuhimu katika kudhibiti viwango vya testosterone, kuimarisha ubora wa manii, na kudumisha afya ya tezi dume. Pia inaweza kusaidia katika uimarishaji wa misuli, inayosaidia damu kufika vizuri katika uume na uume kusimama vizuri. Vyakula vyenye vitamini D kwa wingi ni samaki, maziwa, mayai, n.k
OMEGA 3
Omega-3 fatty acids ni muhimu kwa mwanaume katika kuboresha tendo la ndoa. Husaidia katika uzalishaji wa homoni, ikiwa ni pamoja na testosterone. Pia, hufaidia moyo kuleta mzunguko mzuri wa damu mwilini, bila mzunguko mzuri uume husimama legelege. Kupata virutubisho hivi kula mbegu za chia, walnuts, dagaa n.k
VITAMINI ‘C‘
Ni muhimu katika kudumisha mfumo wa kinga wa mwili. Inachangia kwa kiasi kikubwa katika kupambana na free radical mwilini, ambazo huharibu seli na kuongeza hatari ya magonjwa. Kinga ya mwili ikiwa imara husaidia kuboresha tendo la ngono. Vitamini C pia hudumisha afya ya mishipa ya damu na moyo. Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume vyenye vitamini C ni machungwa, spinachi, sukumawiki (kale) n.k
VITAMINI ‘E‘
Vitamini E inaweza kusaidia kuzuia kuziba kwa mishipa ya damu na kuboresha mzunguko wa damu. Hii ina athari chanya kwa kuzuia magonjwa ya moyo na hata kushusha viwango vya shinikizo la damu. Kuweka kiwango cha vitamini E katika lishe kunaweza kudumisha afya ya moyo na kuzuia matatizo katika mishipa ya damu. Inapatikana kwa wingi katika parachichi
VIRUTUBISHO VINGINE
Virutubisho vyenye uwezo wa kusaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini, na kuimarisha misuli na neva ni muhimu kwa mwanaume. Virutubisho vifuatavyo pia vina mchango mzuri kuboresha afya ya uzazi kwa wanaume; Selenium, L-Arginine, Folate, Vitamini B-complex, Citrulline n.k
Jinsi ya Kuimarisha Nguvu za kiume Fanya yafuatayo
Kupunguza Mawazo
Msongo wa mawazo unaweza kusababisha kuongezeka kwa viwango vya homoni ya cortisol mwilini. Viwango vya juu vya cortisol vinaweza kuharibu mfumo wa endocrine, pamoja na kusababisha shida za ngono kama vile kupungua kwa hamu ya ngono na kushuka kwa nguvu za kiume. Kupunguza msongo wa mawazo kunaweza kusaidia kupunguza viwango vya cortisol na kurejesha usawa wa homoni.
Zingatia Lishe Bora
Kula chakula kama vile mbegu za maboga, walnuts, asali, samaki, mbegu za chia, tangawizi na mdalasini n.k kunaweza kuchangia kwa njia kadhaa katika kuboresha nguvu za kiume. Lishe yenye afya husaidia kuboresha nguvu za kiume kwa kusaidia uzalishaji wa testosterone, kudumisha afya ya mfumo wa mzunguko wa damu na moyo, kusaidia katika uzalishaji wa manii yenye afya.
Mazoezi ya Kegel
Mazoezi ya Kegel ni mazoezi yanayolenga kuimarisha misuli ya nyonga (pervic). Misuli ya pelvic inashiriki katika udhibiti wa mtiririko wa damu kwenye eneo la nyonga, ikiwa ni pamoja na damu inayohusika na kudindisha uume. Kwa kufanya mazoezi ya kegel na kujenga misuli ya nyonga, wanaume wanaweza kudumisha udhibiti bora wa mtiririko wa damu kwenda kwenye uume, ambayo inaweza kusaidia katika uume kudinda vizuri.
Kuacha Pombe
Pombe na madawa ya kulevya yanaweza kusababisha kusinyaa kwa mishipa ya damu, ambayo inaweza kupunguza mzunguko wa damu kwenye viungo vya ngono. Mzunguko duni wa damu unaweza kusababisha erectile dysfunction. Pia pombe inaweza kuingiliana na mfumo wa endocrine na kusababisha kudhibitiwa kwa viwango vya testosterone. Hii inaweza kusababisha kupungua kwa libido, na uume kuwa legevu.
Pima Afya yako
Kupima afya yako kunaweza kusaidia kutambua matatizo ya afya ambayo yanaweza kuathiri nguvu za kiume, kama vile kuwa na viwango vya chini vya testosterone, ugonjwa wa moyo, kisukari, shinikizo la damu (presha), ngiri (hernia), matatizo katika tezi dume (prostate glands) au matatizo mengine ya kiafya ambayo yanaweza kusababisha dysfunction ya erectile au shida nyingine za ngono. Baada ya kutambua hali yako kiafya utakuwa na uwanja mzuri wa kutafuta tiba ya maradhi yanayokukabili.
Ushauri wa Kitaalamu
Kuomba ushauri wa kitaalamu kunaweza kuwa hatua muhimu katika kuboresha nguvu za kiume. Daktari au wataalamu wengine wa afya wanaweza kutoa mwongozo, matibabu, na msaada unaohitajika ili kushughulikia masuala ya nguvu za kiume na kuboresha afya nzima ya mwili. Jitahidi kuwa muwazi kwa mtaalamu au wataalamu wanaoshughulikia tatizo lako, kuwa msiri kwa mtu anayetaka kukusaidia huweza kupelekea lengo la matibabu kutokufanikiwa.