Hivi Hapa Viwango Vya Mishahara Ya Watumishi wa Serikali  (TGS salary Scale)

Hivi Hapa Viwango Vya Mishahara Ya Watumishi wa Serikali  (TGS salary Scale)
Hivi Hapa Viwango Vya Mishahara Ya Watumishi wa Serikali  (TGS salary Scale)

Pale unapopata kazi Serikalini hushikwa na shauku kutaka kujua Taasisi au wizara hiyo inalipa kiasi gani na muda mwingine Mishahara Huandiwa kwa kifupi kushindwa kujua maana na kiasi sahihi ,Kupitia makala hii utafahamu viwango vya mishahara Serikalini.

Makundi ya Viwango vya Mishahara ya TGS Salary Scale

Viwango vipya vya mishahara ya Watumishi wa Serikali 2024 (TGS salary Scale) vimegawanywa katika ngazi mbalimbali (TGS A – TGS J), kuanzia ngazi ya chini kabisa (TGS A) hadi ngazi ya juu kabisa (TGS J).

Kila ngazi ina madaraja kadhaa ambayo yamepangwa kutokana na uzoefu wa kazi, na kila daraja lina kiwango chake cha mshahara. Kwa mfano, ngazi ya TGS A ina madaraja 8, kuanzia TGS A.1 hadi TGS A.8. Mshahara wa kuanzia kwa ngazi ya TGS A.1 ni Tshs. 380,000 kwa mwezi, huku mshahara wa juu kabisa kwa ngazi ya TGS J.1 ni Tshs. 3,380,000 kwa mwezi.

Viwango vya Mishahara ya TGS A Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS A.1380,000
TGS A.2388,500
TGS A.3397,000
TGS A.4405,500
TGS A.5414,000
TGS A.6422,500
TGS A.7431,000
TGS A.8439,500

Viwango vya Mishahara ya TGS B Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS B.1450,000
TGS B.2461,000
TGS B.3472,000
TGS B.4483,000
TGS B.5494,000
TGS B.6505,000
TGS B.7516,000
TGS B.8527,000
TGS B.9538,000
TGS B.10549,000

Viwango vya Mishahara ya TGS C Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS C.1585,000
TGS C.2598,000
TGS C.3611,000
TGS C.4624,000
TGS C.5637,000
TGS C.6650,000
TGS C.7663,000
TGS C.8676,000
TGS C.9689,000
TGS C.10702,000
TGS C.11715,000
TGS C.12728,000
SOMA HII :  Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira Vodacom M-Pesa

Viwango vya Mishahara ya TGS D Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS D.1765,000
TGS D.2780,000
TGS D.3795,000
TGS D.4810,000
TGS D.5825,000
TGS D.6840,000
TGS D.7855,000
TGS D.8870,000
TGS D.9885,000
TGS D.10900,000
TGS D.11915,000
TGS D.12930,000

Viwango vya Mishahara ya TGS E Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS E.11,000,000
TGS E.21,019,000
TGS E.31,038,000
TGS E.41,057,000
TGS E.51,076,000
TGS E.61,095,000
TGS E.71,114,000
TGS E.81,133,000
TGS E.91,152,000
TGS E.101,171,000
TGS E.111,190,000
TGS E.121,209,000

Viwango vya Mishahara ya TGS F Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS F.11,300,000
TGS F.21,324,000
TGS F.31,348,000
TGS F.41,372,000
TGS F.51,396,000
TGS F.61,420,000
TGS F.71,444,000
TGS F.81,468,000
TGS F.91,492,000
TGS F.101,516,000
TGS F.111,540,000
TGS F.121,564,000

Viwango vya Mishahara ya TGS G Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS G.11,660,000
TGS G.21,691,000
TGS G.31,722,000
TGS G.41,753,000
TGS G.51,784,000
TGS G.61,815,000
TGS G.71,846,000
TGS G.81,877,000
TGS G.91,908,000
TGS G.101,939,000
TGS G.111,970,000
TGS G.122,001,000

Viwango vya Mishahara ya TGS H, I & J Salary Scale

Ngazi ya MshaharaKuanzia Julai, 2022/23
TGS H.12,110,000
TGS H.22,172,000
TGS H.32,234,000
TGS H.42,296,000
TGS H.52,358,000
TGS H.62,420,000
TGS H.72,482,000
TGS H.82,544,000
TGS H.92,606,000
TGS H.102,668,000
TGS H.112,730,000
TGS H.122,792,000
TGS I.12,905,000
TGS I.23,022,000
TGS I.33,139,000
TGS I.43,256,000
TGS J.13,380,000
SOMA HII :  Azam pesa WhatsApp Number na Huduma kwa Wateja

 

About Burhoney 4807 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati