Survival Hospital Iliyop mkoani Kagera imetangaza Nafasi 2 za kazi za Nesi wasaidizi (Assistant Nursing Officer) kwa Waliosomea Taauma ya Unesi Wanakaribishwa kutuma Maombi yao kabla ya Tarehe 30 Mwezi Huu wa nne mwaka 2025.
Taarifa zaidi Kuhusu Nafasi za kazi zilizotangazwa Survival Hospital
Jina la Taasisi inayoajiri : Survival Hospital
Mahali au Mkoa : Kagera
Nafasi zilizotangazwa: Assistant Nursing Officer(02)
Mwisho wa kupokea Maombi: Tarehe 30 /April /2024
Soma hii: Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Polisi Tanzania 2025 PDF
Nafasi za kazi Survival Hospital -Assistant Nursing Officer
1 Comment
Habari naomba kazy ya viwandani