Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Form Five Selection 2025 Mbeya – Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Mbeya
Elimu

Form Five Selection 2025 Mbeya – Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Mbeya

BurhoneyBy BurhoneyApril 9, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Form Five Selection 2025 Mbeya – Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Mbeya
Form Five Selection 2025 Mbeya – Waliochaguliwa kidato cha tano 2025 Mbeya
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Mbeya ni jiji lenye Shule za nyingi na maarufu za Advance nchini Tanzania ambazo kila mwaka Hupokea Wanafunzi wapya wanaopangiwa shule za form 5 na Tamisemi Hapa tunakuletea Hatua za kufuata kujua jinsi ya kuangalia majina ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano mkoani Mbeya.

Jinsi ya Kuangalia Selection za Form Five – Mkoani Mbeya

Orodha ya wanafunzi waliopangiwa kujiunga na kidato cha tano hutolewa rasmi na Ofisi ya Rais – TAMISEMI kupitia tovuti yao. Mfumo huu ni wa kidigitali na rahisi kutumia kwa mzazi au mwanafunzi binafsi.

Hatua za Kuangalia Majina ya Waliopangiwa:

  1. Tembelea tovuti ya TAMISEMI:
     https://selform.tamisemi.go.tz

  2. Bonyeza kiungo chenye maandishi: “Selection Kidato cha Tano 2025”

  3. Chagua Mkoa – Mbeya

  4. Kisha chagua Halmashauri unayotaka kama vile Mbeya City Council, Rungwe DC n.k.

  5. Tafuta jina lako kwa kutumia:

    • Namba ya mtihani

    • Jina la mwanafunzi

    • Au shule aliyotoka

 Mfumo huu pia hukuruhusu kuona shule aliyopangiwa mwanafunzi na fomu ya maelezo ya kujiunga.

 Halmashauri za Mkoa wa Mbeya

Mkoa wa Mbeya una jumla ya halmashauri 9 ambazo zinasimamia shule mbalimbali za sekondari ya juu. Halmashauri hizi ndizo zinazopokea wanafunzi waliopangiwa shule katika maeneo yao.

Orodha ya Halmashauri za Mbeya:

  1. Mbeya City Council

  2. Mbeya District Council

  3. Rungwe District Council

  4. Kyela District Council

  5. Chunya District Council

  6. Mbarali District Council

  7. Busokelo District Council

  8. Tukuyu Town Council

  9. Tunduma Town Council

Katika halmashauri hizi, kuna shule nyingi maarufu za kidato cha tano kama:

  • Iyunga Secondary School

  • Rungwe Secondary

  • Loleza Secondary

  • Mbeya Secondary School

  • Tukuyu High School

  • Mbalizi Secondary

  • Chunya Girls / Chunya Boys

 Jinsi ya Kupata Form Five Joining Instructions – Shule za Mbeya

Baada ya mwanafunzi kujua shule aliyopangiwa, hatua muhimu inayofuata ni kupakua na kusoma Fomu ya Maelekezo ya Kujiunga (Joining Instructions). Fomu hii inaeleza kwa kina:

  • Tarehe ya kuripoti shule

  • Mahitaji muhimu kama sare, daftari, vifaa vya malazi

  • Ada na michango mingine ya shule

  • Taratibu za usajili

  • Sheria na kanuni za shule

SOMA HII :  Kigamboni City College of Health and Allied Sciences Amis Online admission system - kiccohas

Hatua za Kupata Fomu ya Joining Instructions:

  1. Nenda kwenye tovuti ya TAMISEMI:
     https://selform.tamisemi.go.tz/Content/selection-and-joining-instructions

  2. Chagua Mkoa – Mbeya

  3. Tafuta jina la shule mwanafunzi aliyopangiwa

  4. Bonyeza Download kupakua fomu ya shule husika

  5. Chapisha (print) au ihifadhi kwa matumizi ya baadaye

 Ni vyema mzazi au mlezi kusoma fomu hiyo mapema ili kuhakikisha maandalizi yanafanyika kwa wakati.


Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) Arusha courses offered

December 25, 2025

Mzumbe University (MU)

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Contact Details Number na Address

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Prospectus PDF Download

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Admission Letter

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Joining Instruction PDF Download

December 25, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Zimamoto Recruitment Portal Login:Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

December 13, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Zima moto PDF Download December 2025

December 12, 2025

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

December 12, 2025

Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili kada ya Afya na Ualimu Ajira portal December 2025

December 4, 2025

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Kada za Afya na Elimu TAMISEMI

November 26, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.