Kwa kutumia Vodacom M-Pesa, unapata urahisi wa kufanya malipo ya tiketi, kukwepa foleni, na kufurahiya mechi za mpira ukiwa na tiketi yako tayari. Katika makala hii, tutakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kununua tiketi za mpira kwa kutumia Vodacom M-Pesa.
Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira Vodacom M-Pesa
- Piga *150*00#
- Chagua 4 (Lipa kwa M-Pesa)
- Chagua 9 (Zaidi)
- Chagua 1 (E-payment)
- Chagua 1 (Tiketi za Michezo)
- Chagua 1 (Tiketi za Mpira)
- Chagua mechi unayotaka kulipia
- Chagua kiingilio
- Weka namba ya kadi ya N-Card
- Ingiza namba ya siri
- Thibitisha