Aina za Rasta za Darling na Bei Zake

Aina za Rasta za Darling na Bei Zake
Aina za Rasta za Darling na Bei Zake

Kama wewe ni mpenzi wa mitindo ya nywele, basi huwezi kosa kusikia kuhusu Darling – brand maarufu sana inayotoa nywele za kisasa kwa bei rafiki na ubora wa hali ya juu. Darling imetufanyia kazi rahisi kwa kutupatia rasta mbalimbali zinazofaa kwa kila aina ya mtindo, tukio, na bajeti.

Lakini je, unazifahamu aina zote za rasta za Darling na bei zake sokoni? Kama jibu ni la, usijali! Hapa tumekuletea orodha ya aina maarufu za rasta za Darling pamoja na bei zake za wastani kwa mwaka 2024.

 Classic Braid (Darling Super Braid)

Hii ni rasta ya kawaida sana ambayo hutumika kwa box braids, knotless, na mitindo ya kila siku.

  • Bei: Tsh 2,000 – 3,500 kwa kifurushi (kutegemeana na duka)

  • Mahitaji: Kawaida unahitaji pakiti 3 hadi 5 kwa kichwa kizima

  • Rangi: Nyeusi, hudhurungi, burgundy, blonde, blue, n.k.

 Faida:

  • Inapatikana kwa urahisi

  • Nyepesi na rahisi kusuka

  • Inafaa kwa mitindo mbalimbali

Afro Kinky Twist / Spring Twist

Hii ni chaguo bora kwa wale wanaopenda twist zenye mwonekano wa natural hair.

  •  Bei: Tsh 4,000 – 6,000 kwa pakiti

  •  Mahitaji: Pakiti 2–4 kwa kichwa kizima

  •  Mtindo: Senegalese twist, Passion twist, Spring twist

Tip:

Tumia kidogo mafuta ya nywele ya nazi au castor oil ili kudumisha unyevu na kung’aa.

Nubian Twist

Rasta hizi ni fupi na zina texture ya Afro – zinafanana sana na nywele halisi za asili.

  • : Tsh 3,500 – 5,000 kwa pakiti

  •  Mahitaji: Pakiti 3–5 kwa kichwa kizima

  •  Zinafaa kwa: Mitindo ya casual na official pia

Bohemian Curls / Boho Rasta

Mchanganyiko wa rasta na curls – kwa wale wanaopenda mwonekano wa free-spirited na kisanii.

  • Bei: Tsh 5,000 – 7,000 kwa pakiti

  •  Pakiti 3–5 zinatosha kwa kichwa kizima

  •  Mara nyingi zinakuja na rangi mbili au zaidi (ombre)

SOMA HII :  Ada za Leseni za Biashara Tanzania

 Bonus Tip:

Tumia mousse baada ya kusuka ili kuweka curls zako zikiwa laini na zisichanganyike.

Faux Locs / Butterfly Locs / Distressed Locs

Rasta hizi zinatoa muonekano wa dreadlocks lakini kwa muda mfupi – perfect kwa kujaribu kitu kipya.

  •  Bei: Tsh 6,000 – 10,000 kwa pakiti

  •  Kawaida unahitaji pakiti 5–7 kwa kichwa kizima

  • Mitindo maarufu: Butterfly locs, Boho locs, Goddess locs

Soma Hii :JUMO Mkopo

 Bonus: Rasta za Pre-Stretched (EZ Braid / X-Pression)

Zinaandaliwa tayari kwa kusuka bila kuzichambua, na zinaokoa muda sana.

  •  Bei: Tsh 3,000 – 5,000

  •  Zinaokoa muda na zinaonekana nadhifu zaidi

About Burhoney 4806 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati