Biashara zenye faida kubwa mtaji mdogo

Biashara zenye faida kubwa mtaji mdogo
Biashara zenye faida kubwa mtaji mdogo

Kuna Biashara Ambazo watu wengi huzipuuzia lakini ni Biashara zenye faida kubwa na mzunguko mzuri.Hapo chini nimekuwekea Biashara ambazo ukizikomalia hutojutua kuwekeza muda wako na Pesa.

Biashara hizi hazichangamkiwi sana na wasomi na wenye mitaji mikubwa. Unaweza kuangalia hizi Biashara na Ukaweka nguvu zako..

Orodha ya Biashara Ndogo Ndogo Zenye Faida Kubwa

1.Mgahawa maeneo yenye watu wengi mfano masokoni na migodini, Stendi, karibu na vyuo/Hosteli.
.
2. Udalali ( udalali wa kila kitu)
.
3. Biashara ya vitafunwa na Bites.
.
4. Wakala wa kusajili laini za mitandao kama tigo, airtel, vodacom na halotel.
Hii ni biashara ambayo wengi wanaidharau sana lakini ina hela sana kwa mwezi ukipiga kazi vzuri commission inakuja hadi 1m na sio lazima hadi ufanye ww unatafuta vijana wanaingia mtaani. Ukiwa na ofisi maalum ni nzuri zaidi kuliko kuzunguka mtaani pia unaweza ongeza uwakala hapo
.
5. Bishara ya matunda.
.
6. Biashara ya Carwash ( Hii inahitaji mtaji mkubwa wa mashine na eneo)
.
7. Kuuza Rasta. Hasa utoe Chimbo/direct kiwandani kama una mtaji mkubwa.
.
8. Kuuza supu ya kongoro jioni.
.
9. Wakala wa mabus ( pesa kubwa kwa sasa iko kwenye mizigo)
.
10. CD 💿 library hasa maeneo ya uswahilini.
.
11. Mihogo mashuleni hasa shule za serikali.
.
12. Genge
.
13. Upigaji wa picha (Photography)
.
14. Kibanda cha Chips
.
16. Ufundi
.
17. Mishikaki.
.
18. Uuzaji wa Nguo za ndani.
.
19. Uuzaji wa vifaa vya simu.
.
20. Uuzaji wa simu ndogo za batani hasa vijijini na wilaya zenye maendeleo ya kati.
.
21. Biashara za ushonaji.
.
22. Biashara ya Dagaa
.
23. Biashara ya usafi.

Soma Hii :Jinsi ya Kutengeneza M-PESA MasterCard

SOMA HII :  Wauzaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania

Hizi ni Baadhi tu. Ipi umewahi Kuifanya ikakupatia mafanikio?
Ipi unatamani tuichambue zaidi?

Credit to : Kelvin kibenje

About Burhoney 4810 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati