Bei ya Vipande vya UTT AMIS

Bei ya Vipande vya UTT AMIS
Bei ya Vipande vya UTT AMIS

UTT Asset Management and Investor Services Plc (UTT AMIS) inasimamia mifuko mbalimbali ya uwekezaji inayowapa wawekezaji fursa ya kukuza mitaji yao. Kila mfuko una bei ya kipande inayobadilika kulingana na thamani ya mali halisi (Net Asset Value – NAV) ya mfuko husika.

Mifuko ya Uwekezaji Inayotolewa na UTT AMIS

Kuna aina kuu sita za mifuko ya uwekezaji inayotolewa na kampuni ya uwekezaji ya UTT AMIS. Mifuko hiyo ni pamoja na;

  1. Umoja Fund
  2. Wekeza Maisha Fund
  3. Watoto Fund
  4. Jikimu Fund
  5. Liquid Fund
  6. Bond Fund

Mfuko wa Umoja Fund

Hapa chini tutaneda kuangalia taarifa kamili za mfuko wa Umoja Fund mfuko uliokua wa kwaza kuweza kuanzishwa na mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS

Maelezo ya Msingi Ya KipandeThama kwa Tsh
1Net Asset Value368, 619, 339, 392.6250
2Outstanding Number of Units337, 384, 369.9378
3Net Asset Value Per Unit1,092.5798
4Sale Price Per Unit1,092.5798
5Repurchase Price Per Unit1,081.6540

Mfuko wa Wekeza Maisha Fund

Mfuko wa wekeza maisha ulikua ni mfuko wa pili kwenye miongo ya uanzishwaji wa mifuko iliyoko kwenye kampuni ya UTT AMIS, Hapa tutaenda kuangalia jeduwari lenye kuonyesha thama ya mfuko huu ndani ya UTT AMIS.

Maelezo ya Msingi Ya KipandeThama kwa Tsh
1Net Asset Value18, 984, 033, 691.2349
2Outstanding Number of Units19, 601, 282.2080
3Net Asset Value Per Unit968.5098
4Sale Price Per Unit968.5098
5Repurchase Price Per Unit949.1396

Soma hii :Vigezo na Sifa za Kupata Mkopo CRDB Bank

Mfuko wa Watoto Fund

Mfuko huu wa watoto Fund ni mfuko uliokua umeanzishwa katika awamu ya 3 ya mfurulizo wa uwanzishwaji wa mifuko ya uwekezaji katika mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS. Mfuko huu ulianzishwa kwa uwekezaji wa Watoto hadi umri wa miaka 18.

SOMA HII :  Jinsi ya kununua bond bot :Jinsi ya kununua hati fungani za serikali

Hapa chini tutaenda kutazama thamani ya mfuko huu ndani ya mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS

Maelezo ya Msingi Ya KipandeThama kwa Tsh
1Net Asset Value23, 894, 844, 571.9033
2Outstanding Number of Units33, 492, 579.7529
3Net Asset Value Per Unit713.4370
4Sale Price Per Unit713.4370
5Repurchase Price Per Unit706.3026

Mfuko wa Jikimu Fund

Baada ya kuanzishwa kwa mfuko wa Watoto Fund, mfuko uliofuata kuzinduliwa chini ya mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS ulikua ni mfuko wa Jikimu Fund ulikua ni mfukowa 4 kuanzishwa kwenye orodha ya mifuko inayopatikana kwenye UTT AMIS.

Hapa chini tunaenda kukupa mwongozo wa thamani ya vipande kwenye mfuko wa Jikimu Fund.

Maelezo ya Msingi Ya KipandeThama kwa Tsh
1Net Asset Value32, 143, 792, 291.4539
2Outstanding Number of Units175, 467, 397.9908
3Net Asset Value Per Unit183.1895
4Sale Price Per Unit183.1895
5Repurchase Price Per Unit179.5258

Mfuko wa Liquid Fund

Mfuko wa Liquid Fund ulikua ni mfuko wa 5 kwenye mfururizo wa uanzishwaji wa mifuko ya uwekezaji iliyoko kwenye mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS.Hapa chini tuanaenda kuangazia bei ya thamani ya vipande vya mfuko wa Liquid Fund.

Maelezo ya Msingi Ya KipandeThama kwa Tsh
1Net Asset Value32, 143, 792, 291.4539
2Outstanding Number of Units175, 467, 397.9908
3Net Asset Value Per Unit183.1895
4Sale Price Per Unit183.1895
5Repurchase Price Per Unit179.5258

Mfuko wa Bond Fund

Huu ndio ulikua mfuko wa mwisho hadi sasa kuweza kuzinduliwa katika mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS, Katika orodha ya uwanzishwaji wa mifuko ya uwekezaji huu ulikua mfuko wa 5 kuanzishwa. Hapa tutaenda kuangalia thamani ya vipande katika mfuko wa Bond Fund.

SOMA HII :  Biashara za Mtaji Kuanzia Laki Moja Mpaka Milioni Moja
Maelezo ya Msingi Ya KipandeThama kwa Tsh
1Net Asset Value761, 673, 000, 500.6591
2Outstanding Number of Units6, 381, 027, 074.5991
3Net Asset Value Per Unit119.3653
4Sale Price Per Unit119.3653
5Repurchase Price Per Unit119.3653

Thamani kwa kila mfuko hapo juu inaweza kubadilika kila wakati, ili kweza kupata taarifa za mabadiliko hayo ni vyema ukatembelea tovuti rasmi ya UTT AMIS

Utendaji wa Hivi Karibuni

UTT AMIS imeshuhudia ukuaji mkubwa katika mali inayosimamiwa (Assets Under Management – AUM). Kufikia Juni 2023, AUM ilifikia shilingi trilioni 1.535, ikiwa ni ongezeko la asilimia 429 tangu mwaka 2019. Hii inaashiria imani kubwa ya wawekezaji katika utendaji wa UTT AMIS.

Changamoto

Licha ya ukuaji huu, bado kuna changamoto ya kuendeleza utamaduni wa kuweka akiba na kuwekeza katika masoko ya fedha miongoni mwa Watanzania.

UTT AMIS inaendelea kufanya kampeni za elimu ya fedha ili kukabiliana na changamoto hii.

Bei ya vipande vya UTT AMIS kwa mwaka 2024 itaendelea kubadilika kulingana na utendaji wa soko. Wawekezaji wanahimizwa kufuatilia taarifa rasmi kutoka UTT AMIS na kushauriana na wataalamu wa fedha kabla ya kufanya maamuzi ya uwekezaji.

About Burhoney 4816 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati