Bei ya TV za Hisense Inch 32 Smart TV Zanzibar na Tanzania

Bei ya TV za Hisense Inch 32 Smart TV Zanzibar na Tanzania
Bei ya TV za Hisense Inch 32 Smart TV Zanzibar na Tanzania

TV za Hisense ambazo kiwanda chake Kipo China ni miongoni mwa TV Maarufu sana zinazouzika katika soko la Tanzania na hii ni kutokana na ubora wake wa hali ya Juu huku bei ikiwa Rafiki kwa watanzania Tumekudadavulia sifa na bei za tv ya hisence inchi 32.

Sifa za Hisense TV Inch 32 Smart TV

Hisense TV ya inch 32 Smart TV inakuja na sifa mbalimbali zinazovutia, ikiwa ni pamoja na:

  • Teknolojia ya LED: Inatoa picha zenye ubora wa juu.
  • Azimio la HD (1366 x 768): Inahakikisha picha zenye uwazi.
  • Mfumo wa Uendeshaji wa VIDAA Smart: Unawezesha upatikanaji wa programu kama Netflix na YouTube.
  • Wi-Fi Imejengwa Ndani: Inaruhusu kuunganishwa na intaneti kwa urahisi.
  • Vituo vya HDMI na USB: Kwa kuunganisha vifaa vya ziada kama koni za michezo.

SOMA HII: Bei ya TV za Samsung Tanzania

Bei ya TV ya Hisense LED inch 32

Hisense LED ya inch 32 ni TV nzuri ambayo unaweza kununua kwa sasa, TV hii inakuja na teknolojia ya LED na pia ina uwezo wa kuonyesha channel za ndani bure bila kuwa na kisibusi. TV hii inapatikana hapa Tanzania kwa bei ya makadirio kati ya TZS 450,000 – TZS 430,000.

SOMA HII :  Jinsi ya kubadilisha kifurushi cha Azam TV
About Burhoney 4809 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati