Mshahara wa mtendaji wa mtaa

Mshahara wa mtendaji wa mtaa
Mshahara wa mtendaji wa mtaa

Watendaji huwa wanalipwa shilingi ngapi?Limekuwa ni swali maarufu kwa waomba ajira za mtendaji kata wanakuwa na shauku ya kutaka kujua mshahara wao mtarjiwa wa kazi wanayoiomba Hapo chini tumekuainishia kiwango cha mshahara wa mtendaji mtaa

Majukumu ya Afisa Mtendaji mtaa

Mtendaji wa mtaa ni afisa anayeshughulikia masuala mbalimbali ya kiutawala katika eneo lake. Kazi zao zinajumuisha:

  • Kusimamia shughuli za maendeleo ya jamii.
  • Kuandaa na kutunza rejista za wakazi.
  • Kuweka mipango ya maendeleo ya kijamii.
  • Kuweka mawasiliano kati ya serikali na wananchi.

Ngazi ya Mshahara

Mshahara wa mtendaji wa mtaa hutofautiana kulingana na ngazi ya mishahara inayotumika katika serikali za mitaa. Kwa kawaida, mtendaji wa mtaa anakuwa katika ngazi ya TGS B, ambapo mshahara wake unakaribia shilingi 390,000 kwa mwezi

SOMA HII :  Wauzaji wa Kuku wa Kienyeji Tanzania
About Burhoney 4806 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati