Msimu wa 2025/2026 ni wa 61 tangu kuanzishwa kwa Ligi Kuu Tanzania Bara, uliyoanza rasmi Septemba 17, 2025 na kuhitimishwa Mei 23, 2026.Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Bodi ya Ligi (TPBL), msimu ulianza Septemba 29, 2025.
Timu Mpya Zinazoshiriki
Mtibwa Sugar na Mbeya City walipandishwa kutoka Ligi Daraja la Kwanza, wakirudi kwenye Ligi Kuu baada ya kukosa msimu uliopita.

