Bei ya Simu ya Tecno Spark 10 Tanzania

Bei ya Simu ya Tecno Spark 10 Tanzania
Bei ya Simu ya Tecno Spark 10 Tanzania

Kampuni ya simu ya Tecno walitangaza toleo jipya la simu yao ya Tecno spark 10 mnamo mwezi April 2023 ndipo rasmi iliingia sokoni ,tumekuwekea Bei ya spark 10 katika masoko ya Tanzania pamoja na Sia zake

Bei za Simu Tecno Spark 10

  • Tecno Spark 10
    • RAM: 8GB
    • ROM: 128GB
    • Bei: TZS 350,000.
  • Tecno Spark 10 Pro
    • RAM: 8GB
    • ROM: 128GB
    • Bei: TZS 350,000.
    • ROM: 256GB
    • Bei: TZS 400,000.
  • Tecno Spark 10C
    • Bei ya Tecno Spark 10C haijatajwa kwa uwazi katika vyanzo vilivyopo, lakini inatarajiwa kuwa katika kiwango cha chini ikilinganishwa na Spark 10 na Spark 10 Pro.

Sifa Za Simu ya Tecno Spark 10

Sifa za Tecno Spark 10

Sehemu Za SimuSifa za Simu
Network2g, 3g, 4g
Processor(SoC)
  • CPU – 
  • Core Zenye nguvu(2) –
  • Core Za kawaida(6) –
  • GPU-
Display(Kioo)IPS LCD, Refresh rate:90Hz
Softawre
  • Android 13
  • HIOS 12
Memori128GB, na RAM 8GB
KameraKamera MBILI 

  1. 50MP,PDAF(wide)
MuundoUrefu-6.6inchi
Chaji na Betri
  • 5000mAh-Li-Po
  • Chaji-18W
Bei ya simu(TSH)350,000/=

Simu hizi zinapatikana kwa bei tofauti katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania, hivyo ni vyema kuangalia maduka tofauti ili kupata ofa bora.

Yapi Madhaifu ya Tecno Spark 10

Tecno Spark 10 simu ya daraja la chini hivyo changamoto ni nyingi ikitegemeana na aina ya matumizi

Mfumo wa kamera sio mzuri kiujumla

Chaji yake haipeleke kwa kasi kubwa na kwa viwango vya kisasa

Kasi ya chaji ya simu za siku hizi ni wati 25

Kioo inatumia teknolojia ya IPS LCD huku ikiwa na resolution ndogo

Simu haina teknolojia mpya ya mawasiliano ya 5G ikizingatiwa baadhi ya mitandao wameanza kuweka 5G nchini

SOMA HII :  Bei ya ng'ombe wa maziwa
About Burhoney 4811 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati