Katika Jiji la Dar es salaam Nyama ya ng’ombe ni kitoweo maarufu kwa wenyeji wa Jiji hili na viunga vyake kuliko nyama nyingine yoyote hali iliyopelekea ongezeko la wauzaji kila mtaa kuna mabucha,Kutokana na kasi ya ongezeko la uhitaji hivyo husababisha Bei yake kupanda ingawaje Bodi ya nyama Tanzania inajitahidi kuliweka sawa hili kuhakikisha inakuwa bei rafiki kwa walaji,Hii hapa orodha y Bei ya nyama ya Ng’ombe maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam
Mabadiliko ya Bei
- Kuongezeka kwa Bei: Bei ya wastani ya nyama ya ng’ombe imepanda kutoka takriban TZS 8,000 kwa kilogram hadi karibu TZS 11,000 katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, huku baadhi ya maeneo yakiripoti bei hadi TZS 15,000 kwa kilogram wakati wa sherehe kama Pasaka.
- Mifano ya Bei Mahali Pengine:
- Kimara Korogwe: Kuanzia TZS 8,000 hadi TZS 11,000.
- Tabata: Takriban TZS 10,000.
- Chanika: Hadi TZS 15,000.
- Tegeta: Takriban TZS 10,500.
- Buguruni: Kati ya TZS 9,000 na TZS 10,000.