Maji ni muhimu katika Mahitaji yetu ya kila siku lakini tulishawahi kujiuliza Mamlka ya maji inapangaje gharama za maji wa Unit 1 na je binadamu wa kawaida anaweza kutumia unit ngapi kwa siku? Tumekuletea muongozo kamili kama ulivyotolewa na Wizara ya maji Tanzania.
Bei ya Unit 1 ya Maji Tanzania katika Mikoa mbalimbali
Pakua Muongozo wa Bei katika PDF
Jinsi ya Kuahamu Bei ya Maji mkoani kwako
Piga *152*00#
Chagua Namba 6 Maji
Chagua namba 2 mamlaka za Maji
Chagua mamlaka yao ya Maji mfano :Mauwasa namba 2
Chagua 4 Taarifa nyingine
Chagua namba 1 Gharama za maji